KIJIWENONGWA EP 60: NYIMBO MPYA | WAKAZI VS ROMA | ZAYLISA.
Update: 2024-01-26
Description
Karibu kwenye kipindi chetu Cha 60 kwenye episode yetu ya KijiweNongwa. Na wiki hii tunazungumzia Nyimbo mpya kutoka kwa Vanillah, Nandy pamoja na Mbosso Khan.
Kwa ufupi sana tunazungumzia Album ya Dizasta Vina ya #AFatherFigure na kwanini Wakazi na Roma wanavutana saaana mitandaoni?
Kumalizia kabisa ni nyimbo ya Dullah Makabila, Furahi. Hii ni ya Zaylisa kabisa. Tusikilize hapa

Comments
In Channel